LADY JAY DEE |
Instachocho,
HONG KONG
BOOM, Yes!, Huyu Ndiye “Jide wa Kujiamini” nab
ado hatishiki sababu Yeye Ni Komando na ana mkwanja wa kumtisha Yeyote ambaye
anamfuatilia.
Licha ya Kwamba Hivi sasa kuna Info zimefyatuka
kuwa, Jumba lake kali linapigwa Mnda, Msanii na Mkongwe huyu Wa muziki wa
Kizazi Kipya, amedhihirisha kuwa bado ana Uwezo wa Kupata “Human Basic Needs
Plus” hata kama hatofanya Kazi kwa Miezi 6 au Mwaka zaidi.
Kupitia Instagram account yake, Judith Wambura
ambaye Hivi sasa Yuko China, amesema kuwa Yeye ana uwezo wa Kuamua Kulala Miezi
6 au hata Mwaka Mzima Bila kufanya kazi yoyote, na Bado akala, akanywa na
Kusafiri popote anapotaka.
Tofauti na Hilo, Jide alisema kuwa, anashangaa
kundi la wanawake na Vikundi vya Makampuni
ambavyo Vinashindana na Mwanamke Mmoja, pasopi kujua Nguvu Yake.
TUNAMNUKUU
JIDE:
“Nashangaa kundi la wanaume
Vikundi vya Makampuni
Vinashindana na mwanamke 1
Mimi naweza kuamua kulala miezi 6 au hata mwaka mzima
Bila kufanya kazi yoyote
Bado nikala, nikanywa na nikasafiri popote nnapotaka
Never underestimate strength of a woman”
Vikundi vya Makampuni
Vinashindana na mwanamke 1
Mimi naweza kuamua kulala miezi 6 au hata mwaka mzima
Bila kufanya kazi yoyote
Bado nikala, nikanywa na nikasafiri popote nnapotaka
Never underestimate strength of a woman”
KATIKA TAARIFA NYINGINE:
Jide Pia amepost
Taarifa Kuwa, Hivi sasa ameamua Kuondoka katika Jiji La Hong Kong Nchini China,
na Kuhamishiwa GUANG ZOU, Kutokana na
Hali ya Hong Kong Kuwa Mbaya Kiusalama, hivyo ni bora akaokoa maisha yake
TUNAMNUKUU PIA
“Mkimbizi uhamishoni
Nimepata taarifa kuwa Hong Kong hakuna usalama wa kutosha
Hivyo nakimbilia Guang Zou
Ili kuokoa maisha yangu”
Nimepata taarifa kuwa Hong Kong hakuna usalama wa kutosha
Hivyo nakimbilia Guang Zou
Ili kuokoa maisha yangu”
EmoticonEmoticon