T
|
UNAJUA kuwa, radio na Weasel walikuwa
wamepigwa Stop kutia “Milonjo” yao kunako Nchi ya Uingereza, lakini taarifa
zilienea kuwa Finally wamesamehewa.
Lakini Moja ya hatari Nyingine ambayo hatujui
kama itazua Msala ama Lah kwa wasanii hawa na Timu Nzima, ni baada ya kudaiwa
Kumtwanga Mwanamke Mmoja wa’Kidhungu” kutoka Nchi Hiyo Hiyo ya Malkia.
·
Mtonyo
Kutoka Kwa Wadaku:
WAFUKUZA MAPEPO ambao wamedhamiria kufukuza Pepo
Mchafu waSkendo katika Sekta ya Burudani, wamedaka Mtonyo Kuwa, Meneja wao
WEASEL & RADIO (GOOD LIFE), anayefahamika kwa jina la CHAGGA, alimzingua
Mwanamke wa UK aliyekuwa anajaribu kujifyatua “SELUFII” na wasanii hao
waliokuwa Nchini Humo Kikazi.
Mtonyo unazidi kumiminika kuwa, Meneja huyo
alijikuta akipigwa na Butwaa baada ya raia waliokuwa Eneo la Tukio kumtaka
aombe msamaha na kuapa kutorudia tena kwa wanawake wa UK kuwazingua na hata
Kuwasukuma, maana Sheria Nchini Humo Ziko Hot kuhusu kuwaonea wanawake
Sababu ambayo Meneja Chagga alijikuta akimsukuma
Mwanamke Huyo, ni kwamba Eti wasanii wake walikuwa wamechoka Haswa, na
walitakiwa Kupumzika.
WAFUKUZA MAPEPO Bado wanafuatilia kama Tukio
Hilo linaweza kuwafanya RADIO, WEASEL na Timu Nzima Kufungiwa Tena Kwenda UK,
ama LAH
EmoticonEmoticon