M
|
UNGU tusaidie sana Mwaka Huu
usiandamwe na Pepo la Wizi wa Nyimbo ambalo limeutafuna sana Ulimwengu wa
Burudani Ulimwenguni Kote hasa kwa Mwaka 2014.
Lakini moja kati ya taarifa za Wizi wa Wimbo
ambazo zinaufungua Mwaka 2015 kwa mara ya Kwanza kabisa, ni Kuhusu Rapper EMINEM
ambaye huenda akafikishwa Mahakamani kwa
Tuhuma za Ku-sample wimbo wa RAP GOD bila Idhini wala Taarifa
RAPPER RAYMOND JONES kutoka kunako kundi la
Muziki la HOT STYLES, wameamua kufungua Madai ya takriban USD MILIONI 8 dhidi
ya Eminem na Record label yake, kwa tuhuma za kutumia Vionjo vya Wimbo wao
katika Mkwaju wa RAP GOD uliofanya Poa kupita maelezo kwa Mwaka 2014
Mkwaju ambao Vionjo vyake vinadaiwa Kuibiwa,
unafahamika kwa Jina la LOOKIN BOY, Hot Styles wamemshirikisha Rapper Mpotevu,
Young Joc
EmoticonEmoticon