BAABKUBWA.COM
NANI kasema Biashara ya Kuburn Cd na
kuhamisha Nyimbo kwenye Simu ama Memory Cards inamuudhi Kila Msanii?..basi
Chukua Hii hapa.
Mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya
Nchini Tanzania (BONGO FLEVA),
Dully Sykes “Mzee wa Kasampaida”, ametoa Bonge
la Pongezi kwa waleWote wanaoburn Cd ya Nyimbo zake ambazo mnazifahamu
Dully amepongeza ishu hiyo, kwa
sabnabu ambayo ameitaja kuwa, ni kutangaza kazi zake na kumfanya afahamike
zaidi.
Pia Dully ambaye hivi sasa anafanya
Guud sana na “Mkwaju” wake wa TOGOLA,amedai kuwa, kwa hivi sasa yeye hana
tatizo kabisaaaa, na Majombaa wanaoburn Mizigo yake na kuisambaza huku na kule,
ukizingatia ni muda wa “Hit Songs”, lakini lait kama ingekuwa ni Kipindi cha
ALBAM, hapo ndo Pangechimbika
Msanii mkongwe kwenye Tasnia ya
muziki wa kizazi kipya hapa Bongo Fleva Dully Skyes ambaye kwa sasa anafanyapoa
na Ngoma yake ya ‘Togora’, akipiga story na mwandishi wetu mara baada ya
kuulizwa swali kuhusu wanao burb CD za wasanii, kwa madai ya kwamba wamehalibu
soko la muziki Dully alisema kuwa.
“Big up kwa wanao sambaza kazi
zangu kwa ku-burn CD kwani wana nipa Fursa ya kujulikana zaidi kwani hao
wanaofanya hivyo wanazidikunitangaza so kwa upande wangu sina mbaya kwani
wanzidi kunifanya niwe maarufu zaidi , na kunipa nafasi hata nchi nyengine
kunijua zaidi ”.may be kama ingekuwa enzi za album ninge maind but now ni
mwendo wa Hit song its ok!”. Alisema Dully.
EmoticonEmoticon