NEW YORK, Marekani
HIT
MAKER wa Annaconda, Onika “Nick” Minaji ambaye hivi sasa ana umri wa Miaka 31,
amedai kuwa, hivi sasa yuko Bize sana kiasi kwamba suala la kupata Mtoto haliko
akilini Mwake hata Kidogo
TTM tumenyaka moja ya Interview
ambayo inadhihirisha kabisa kuwa bado hayuko tayari kupata motto wa aina yoyote
na boyfriend wake SAFAREE SAMUELS, kwa sababu itambidi apige kado kwanza suala
la Muziki na Biashara yake nzima Kiujumla
Minaj amedai kuwa, unapoamua kuingia
katika malezi, muda mwingi itakubidi uwe makini sana na mtoto wako, hali ambayo
inaweza kukufanya uzorote katika Kazi ambayo unaifanya
Aidha amesema kuwa, familia imekuwa
ni kitu muhimu sana kwake, na ndio maana anahitaji kuwa tayari ili kuweza
kuiandalia mazingira mazuri, na endapo atakuwa tayari kufunga Ndoa ama kuolewa
na hatimaye kuwa mama, basi atafanya hivyo bila ubishi
Akizungumza kuhusu Maisha ya Famila
ya Jayz ambao wanafanya Muziki na Bado wanalea vizuri tu, Minaj amedai kuwa
anavutiwa sana na Beyonce hasa katika namna ambavyo anamjali mtoto wake wa
Miaka 2, BLUE IVY, nab ado anakamua Kunako Stage Bila Shida.
Lil Kim ambaye pia ni Mkali wa hip
Hop, hivi sasa tayari ana mtoto aliyemzaa na MR PAPERS, lakini bado anafanyab
Poa na mixtape yake ya HARDCORE
EmoticonEmoticon