HNHH, Marekani
KIPINDI
fulani hivi kulikuwa na info kuwa wawili wapendanao katika ndoa huku wakiwa na
Mtoto mmoja, JAY Z na BEYONCE, wanazinguana vya hatari na huenda wakapigana
Chini kama sio Kuachana
Sasa, Kwa
Mujibu wa PEOPLE MAGAZINE, ttm tumepata Mtonyo wa Juu kwa juu kuwa wawili hao
hivi sasa wanatarajia Kurenew Ndoa yao..
Jarida
hilo limemwaga Mtonyo kuwa, ni kweli ndoa hiyo ilikutana na mbwadidi la
migogoro kwa nafasi kubwa, lakini hivi sasa wameamua kuweka kando tofauti zao, na
kulianzisha upya Jahazi lao, ambalo
walipeana ahadi kuwa watakomaa nalo mpaka lizame na wote wawe humo humo.
v Sababu Kubwa
Ni Hii Hapa
Jarida
hilo halikuishia hapo, bali limezidi kufyatua info kuwa, Sababu kubwa na maalum
ambayo imewafanya wawili hao kufikia uamuzi huo, ni kuweka picha nzuri, pamoja
na kuelekeza majeshi yote kwa mtoto wao BLUE IVY.
Aidha
inasemekana kuwa, wawili hao wamegundua kuwa, Kumlea mtoto wao wakiwa pamoja na
kukiwa hakuna Tofauti ya aina yoyote ile, basi italeta mazingira mazuri na
malezi imara yenye furaha kwa Mtoto huyo
Wawili hao
wamedhihirisha kupendana zaidi na zaidi hasa walipokuwa wakitembelea sehemu
mbali mbali wakiwa na mtoto wao huyo, na inasemekana hivi sasa wako very Busy
Studio, kupika ALBAM ya pamoja
EmoticonEmoticon