REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BEEF JIPYA?. IGGY AZALEA NA SNOOP DOGGY?

12:30:00 AM

HNHH & BLACK TOUCHEZ (INSTAGRAM & TWITTER)
SWALI ambalo TTM tunajiuliza mpaka hivi sasa, ni kwamba Iggy Azaleaamekumbwa na nini?, baada ya kujibishana Makavu na Paparazzi, hatimaye kuingia katika Ishu nyingine kuwa eti aliyekuwa mumewe anadai talaka toka Kwake, sasa hasira zote kaamua kuzimalizia hasira zake kwa Mkongwe wa Hip Hop “All Over The World”, Snoop Dog..Chukua Mtonyo !

Anko Snoopy alifanya Utania kwa Kupost Picha ya Utani iliyomhusu Iggy Azalea kunako account yake ya Instagram

Picha Hiyo ya Utani ilimuonesha Binti mwenye tatizo la Albinism, aliyeelekeana kufanana na Iggy Azalea, na kisha katika Picha hiyo, akaandika “IGGY AZALEA NO MAKE UP” yaani IGGY AZALEA BILA KUJIPODOA.

Sasa, baada ya Bibie Iggy ambaye ni Himaker wa Fancy, baada ya kukutana na Utani huo, akaamishia Majeshi kunako account yake ya TWITTER na kuamua Kumfungukia Anko Snoop Bila Hiyana na Bila Kumuogopa.

Katika Tweet yake ya Kwanza, Iggy alionekana kumshangaa sana Snoppy huku akishindwa kuamini kama ni Kweli amemfanyia hivyo (kumdhalilisha) katika Mtandao wa Instagram, wakati aliwahi kumsaidi hasa kupitia Mabody guard Wake, na blaah blaah Kibao

CHECK TWEETS ZA IGGY (Ingawa ameshazifuta)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER