MWANAMKE mmoja
amejikuta akipoteza vitu vyake vya thamani baada ya Jeshi la Polisi na Manispaa
kuamua kuvipiga Bei ili kurejesha Fidia ambayo Ilitumika kununulia Vifaa Hivyo
Mwanamke huyo MICHAELA HUTCHINGS (23) ambaye pia ni mama wa
Mtoto mmoja, alitumiwa kwa bahati mbaya, kiasi cha EURO 52,000 na Manispaa
LICHFIELD katika account yake.
Aidha taarifa na
vielelezo vinaonesha kuwa, baada ya Kupokea Mkwanja Huo, Michaela alijikuta
akishauriwa na Boyfriend wake ambaye hivi sasa ni EX wake, kuwa anunue baadhi
ya Vitu , na hatimaye kukubali na kununua vitu kadhaa kutoka katika makambpuni
makubwa na yanayotengeneza mavazi na vitu vingine nyenye ghalama kubwa, ikiwemo
GUCCI, DIOR, LOUIS VUITTON na RALPH LAUREN
Sasa, hatua ambayo
imefikiwa na manispaa hiyo, ni Kupiga Mnada Vitu hivyo Vyenye thamani ya EURO
51,821 ambavyo alivipata kutokana na Pesa Hiyo
EmoticonEmoticon