INSTACOP STATE HOUSE, Dar Es Salaam
SIKU ya Jana katika Mtandao wa Instagram, Ndugu
yenu INSTACOP, nilikutana na Picha hii ya Shilole, ambayo Nili-Like tu kawaida
pasipo kuichunguza kwa makini, sababu wakati huo nilikuwa nafukuzia Ishu ya “Karrueche”
na Mtoto wa Jay Z.
Lakini kabla Sijafika mbali zaidi, machale
yalinicheza na Kurudi na Pingu zangu nikiwa tayari kukamata Mtu halafu
Nimpeleke “lupango”.
MPAKA sasa najiuliza, hivi Mupenzi yake Nuh Mziwanda...ameficha makusudi hapo, Mkono umekaa bahati mbaya, ama Swagg? |
HE! Kutizama kwa Umakini, nikaona Comment Moja
inamuuliza Shilole “Shishi Beibe” kuwa ameficha nini katika Naniliu yake..kama
ambavyo Mnaona.
Baada ya kufungua Most of the Comments, He, Si
nikakutana nazo Nyingi zinauliza hivyo?...huku moja ikionesha kuwa ni kawaida
ya “SHISHI YAKE NUH” kufanya hivyo.
HII PICHA, ina ka-Muda kidogo katika IG account yake, lakini nilivyotizama kwa makini nikabaini kuwa hili ni Poz Tu..lakini sasa.. |
Nikasema hata, siwezi Pitwa nah ii Kitu,
nikaanza kuzipekua, He!..nikaziona Nyingine tofauti…...
HEBU TIZAMA NA PICHA HIZI..KISHA CHECK COMMENTS ZA FOLLOWERS WAKE
EmoticonEmoticon