NIGERIA
KAMA WIKI 3 hivi ambazo zimeshapita,
Memba wa P.SQUARE, Peter Okoye, alizama katika mtandao wa Tweeter na kutishia
kutaja jina la Benki ambayo imeonekana kumfanyia Umafia katika Account yake,
huku akiahidi kuifikisha mahakamani…
SASA baada ya Kitengo Chimbua
Chimbua Kuzama Ndani, kilikuja kubainiChanzo kikubwa ambacho kilimfanya Mkali
huyo kutishia kutaja jina la Benki hiyo, jambo ambalo lingejenga Sifa Mbaya
sana kwa Kampuni kama kampuni kiujumla.
Stri Nzima sasa Iko Hivi.
Kipindi Ca Hivi karibuni kabla ya
Wiki hizo ambazo nimekutajia, Peter alibain kuwa katika moja ya Account zake
Binafsi katika Benki Hiyo, ilikuwa imepungukliwa na Kiasi cha Mamilion ya
Fedha, huku Zikibakia Naira 300,000 tu jambo ambalo hakukubaliana nalo.
Hatua aliyoamua kuichukua Peter, ni
Kuufuata utawala wa bank hiyo, ili kufahamu ni kipi kimetokea, mpaka ikaonekana
kuna fedha ambazo zimetolewa katika Account yake pasipo yeye kufahamu, na Benk
hiyo kuahidi kutatua tatizo hilo haraka Iwezekanavyo.
Mpaka inafikia august, bado hakuna
chochote ambacho kilikuwa kimeshafanyika licha ya kuwapa Siku 5 wakamilishe
suala hilo, jambo ambalo lilimfanya Peter awatishie katika Mitandao ya Kijamii.
Sasa, baada ya Uongozi wa Benki hiyo
kuona inaweza kuwa hatari, walimuita Peter Okoye na kumuomba asifanye hivyo,
bali awape Siku 11 waweze kukamilisha Mchakato huo.
Lakini hata hivyo mpaka hivi sasa
hakuna ambacho kimeshafanyika, na kuna uwezekano hivi karibuni, Peter
akawaharibia kwa kuwataja jina …
EmoticonEmoticon