TAPE WORM: Aina ya Minyoo ambayo inafanana na ile ilyotoka katika Tumbo La Binti Huyo |
ATLANTA, Marekani
DAY after day yanaibuka mapya kutoka
kwa wazazi ambao wanawafanyia watoto wao kwa ajili ya tama za hapa na pale.
This Time TTM kupitia Kitengo
Chimbua Chimbua, imeshushwa taarifa ya kushtua kutoka Florida, Marekani.
Binti mmoja alijikuta akikuambana na
maumivu makali ya tumbo yaliyomfanya kuishi kwa wakati mgumu, Kisa tu, mama yake
anamlisha Minyoo ili kumpunguza Unene, kwa ajili ya Shindano la Urembo
linalofahamika kwa Jina la BEAUTY PAGEANT.
Taarifa zinazidi kumunika kuwa,
Baada ya hali ya Binti huyo “Kibonge” kuwa Mbaya zaidi, alikimbizwa katika
Hospitali ya jiji hilo, na kupelekwa katika Chumba cha dharura kutokana na
Kilio alichokuwa akikitoa kuhusu maumivu ya tumbo
Aidha baada ya wauguzi kugundua
kuwa, baadhi ya Vitu havikuwa sawa tumboni, walimpatia dawa ambayo ilimfanya
aende choni mara kwa mara, na Ndipo walikuja kubaini kuwa, alikuwa amejaza
Minyoo tumboni mwake.
Wauguzi hao wameeleza kuwa, Minyoo
wale hawakuwa wachache bali ni wengi na walikuwa warefu sana, na walisumbua
sana, kwa kusokota Utumbo, ili wapate Njia ya kutoka Nje
Baada ya Kuchunguza na Kubana zaidi,
hatimaye ishu ilibumbuluka kuwa mama yake mzazi alinunu mayai ya Minyoo Nchini
Mexico na kumpatia Binti ake huyo, ili apunguze unene kwa ajili ya Shindano
hilo la Urembo
Mama Huyo alimuomba Msamaha Mtoto
wake, na kumwambia kuwa alikuwa akifanya hivyo ili awe Mwembamba, na alihitaji
msaada wa kufuta Ubonge alio nao, ili akashiriki Shindano hilo la Urembo
EmoticonEmoticon