NI KWELI kwamba asilimia kubwa ya
Vijana tayari wameshaathirika na utizamaji yaw a Video mbali mbali za Ngono
ambazo zinapatikana san asana ONLINE(Kupitia Mtandao)
Wengi wao huweza kuzitafuta kwa
Kudhamilia, lakini baadhi pia huweza kukutana nazo kwa bahati mbaya ukilingana
na Suala la matangazo na Promo kuhusu Video hizo na Mitandao maalum ambako
zinapatikana
WATOTO weny Umri wa Miaka 11, tayari
wameshatumbukizwa katika matumizi na Ufuatiliaji wa Video za Ngono hasa kupitia
ONLINE, na walio na Umri wa Miaka 14, kwa asilimia 45 wanafuatilia kwa Ukaribu
sana baadhi ya Video ambazo hazina maadili, na zimejaa masuala ya Ngono
Pia imebainika kuwa, Vijana wenye
Umri wa Miaka 18 ulimwenguni Kote ikiongozwa na Nchi ya Uingereza,
wameshaathirika sana na Video Hizi ambazo kwa asilimia kubwa huwa na Onyo la
masuala haya ya Ngono
Asilimia 80 ya Vijana wanadai kuwa,
kwa wale vijana hasa wanafunzi walioko Chuo, ndo Huathirika zaidi na Video Hizi
mbaya za Ngono, ukizingatia kuwa wanamazingira wazi ya kukumbuka walichotizama,
na kukifanyia kazi kwa njia Tofauti na Mbaya zaidi.
HIVYO, asilimia 70 ya Vijana
wamedhihirisha Athari zifuatazo kutokana na Video za Ngono
·
Hali
zao /Hulka zao/Tabia zao Vijana hasa katika Tendo la Ndoa huathirika kwa Kiasi
kikubwa, kutokana na kile wanachotizama mara kwa mara
·
Kudanganywa
kuhusu Uhalisia wa Tendo la Ndoa la Kawaida. Asilimia kubwa ya Video za Ngono,
huwa za Kibiashara zaidi ili kuwavuta watu. Hii mara Nyingi inaathiri Mwazo
mazuri kuhusu Njia sahihi za Kutenda tendo la Ndoa, na badala yake hufuata
Uwongo wa Video Hizo.
·
Fikra
za Mabinti na SAIKOLOJIA huathirika zaidi kuliko Mwanaume. Hivi sasa kumekuwa
na tabia ama imani kuwa, pasipo kufanya Tendo la Ndoa kwa Style ambazo akina
dada hawa wanazitizama katika Video Hizo, basi Mwanaume anayefanya na wewe hivyo
hajui wala hafahamu chochote, na hawezi kukulidhisha.
·
MATUMIZI
ya Fujo hasa katika dawa za Kuongeza nguvu, na hata kutengeneza maumbile ya
Viungo vya Siri kwa Mwanaume na Mwanamke. Kwa Upande wa Mwanaume, Kutizama maumbile
makubwa ya Kiume, yaliyotengenezwa na dawa, kwa ajili ya kibiashara, huwafanya
wao kuiga, na kuamini kuwa Ndio njia sahihi ya Kumridhisha mwanamke. Pia
Mabinti Siku hizi wamekuwa na tabia ya kufuatilia sana maumbile yao, na hata ya
Kijana wa Kiume wanayeshiriki naye Tendo la Ndoa.
·
Rahisi
Kuchepuka
·
Ni
rahisi kupata maambukizi ya magonjwa ya Zinaa
EmoticonEmoticon