Ulalalalaaaaaaa…kimenuka Once again ambapo
Little majanga Boy, JUSTIN BIEBER na Mpenzi wake ambaye hivi majuzi tu
walimaluiza Tofauti zao, SELENA GOMEZ, finaly wamepigana Chini Tenya, TTM
tushapewa Mtonyo.
Kwa Mujibu wa Full data kutoka “Kitengo Chimbua
Chimbua”, the real Issue ni kwamba kupiagana chini kwa wawili hawa, kunatokana
na Ubishani Mkubwa uliotokea kunako Weekend Hii ambapo Mamito Selena
alichukizwa na Kitendo cha Justin Bieber kuhudhuria Katika Ndoa ya Meneja
wakwe, pasipo kutoa Mwaliko kwa Selena ili na yeye ahudhurie pilau hilo.
Kwa Mujibu wa chanzo kilichomimina Info hizo,
inasemekana kuwa, Mnamo JULAI 05, Meneja wa Bwana Bieber , SCOOT BRAUN, alikuwa
akifunga Ndoa huko Nchini Canada, ambapo alitoa Mwaliko wa Justin Peke yake, na
Sio Selena.
Adha taarifa zilizidi kumiminika kuwa, Scooter
ambaye ni Meneja Wa Justin, alitaka Justin peke ake ahudurie Ndoa Hiyo, maana
kama Selena na Justin wangehudhuria pamoja, basi macho ya watu wote
waliohudhuria katika Harusi hiyo yangekuwa katika Kile ambacho Justin na Selena
wanakifanya , na Sio Maharusi, jambo ambalo Justin aliliheshimu.
Hatua ya Justin kukubali kuhudhuria [pasipo
Kishtobe wake Selena, kilimuudhi sana bibie huyo, na kufikia hatua ya kupigana
Chini , ingawa Bieber hakutaka iwe hivyo, na hata hivyo hakutaka iathiri ndoa
pamoja na Sherehe za Meneja wake Scooter
EmoticonEmoticon