WIKI hii nzima, UTA (Uswaz-Take-Away) inajikita
katika Mtaa wa BUGARIKA hapa Jijini Mwanza, sasa leo nina Hili.
Katika Mtaa huo Husika, kuna Mwenyekiti wa Mtaa
Mstaafu (Jina Kinywani) ambaye tunaona anajisukuma na ujasiriamali wake wa vitu
tofauti, ameamua kabisaaa…kuliruhusu Tanki la “KINYESI” kujaa na kuanza
kutiririsha “Juisi ya Kinyesi” katika Maeneo ambayo tunapita, na hata kuweka
Vituo kwa ajili ya Mazungumzo binafsi.
Kama ambavyo unaona hizo picha, kuna baadhi ya
Waungwana wanadai kuwa, walishawahi kumwambia Kiongozi huyo ambaye nafasi yake
ni EXPIRED kwa hivi sasa, lakini amekuwa akipiga kimya tu, jambo ambalo UTA,
tumetafsiri kama “NYODO”
DOH !!!!!
EmoticonEmoticon