Kampuni ya OKLAHOMA, imeandaa Branket za kisasa
ambazo zitakuwa na Uwezo wa Kuwakinga watoto wadogo hasa na Risasi, yaani
Bullet Proof.
Branket Hizo ambazo ni Maalum zaidi kwa watoto
wadogo, zitakuwa na uwezo wa kutoa Ulinzi wa Kutosha hasa kwa watoto hao,
katika matukio Tofauti ikiwemo Hilo La Risasi ambazo zinaweza kutokea katika
mazingira yoyote ya Kushtukiza.
Pia Kwa Mujibu wa PROTECHT ambao ni
watengenezaji wa Branket Hizo, wamesema kuwa, BODYGUARD BLANKET zitagharimu
Dolar za Kimarekani 1,000 tu, na bado zinauwezo wa Kumkinga Mtoto Mdogo na
Majanga ya Kuangukiwa na Vitu Vizito, pindi linapotokea Tetemeko la Ardhi ama
lolote lile.
Watoto hao watakuwa wakivaa Blanketi hizo
Mgongoni na Kujikunyata, huku wakipata Ulinzi wa Kutosha, kama ambavyo picha
zinavyoonekana katika www.joachimjunior.blogspot.com
ama BLACK TOUCHEZ
EmoticonEmoticon