KAMA Mtoto wako analeta Uzembe wa Kula Chakula
kisa kuwa Bize sana kwenye TABLET akicheza Games, basi Mbadala Umepatikana
Mtaalamu wa Masuala ya Teknolojia, RICHARD SAH,
ameanzisha
Application ambayo itakuwa na Uwezo wa Kufunga ama Ku-Lock Kila Kitu
katika tablet anayotumia Mtoto wako, pindi unapofika Muda wa Kula Chakula cha
Mchana, Usiku, ama Kifungua Kinywa.
Application Hiyo ambayo ambayo imepewa Jina la
DINNER TIME, itakuwa na Uwezo wa Kufunga Kila kitu anachokifanya, ikiwemo
huduma za Online, Message, na hata sehemu ya kupiga Simu, mpaka pale Mtoto
atakapo kula, ndo kila kitu kitarudi katika hali ya kawaida.
Aidha tofauti na hayo, Application hiyo itakuwa
ikionesha dakika Zilizosalia kabla ya Kila kitu kujifunga, ili awe Tayari
kutafuta chakula.
Hii imetokana na
Richard Kubaini kuwa Wtoto wengi wamekuwa wakishindwa kula kwa sababu ya
kuwa Bize na Kucheza Games, Kutizama Video Mbali mbali, Kuchati sana na
marafiki zao, pamoja na kuongea na Simu Muda Mrefu sana
EmoticonEmoticon