BI. JAGEER MIRGIND |
KUNA muda Huwa najiuliza Why This…hasa katika
mazingira ya kawaida?...
BI. JAGEER MIRGIND, amejikuta akipata upofu na
hata Kujeruhiwa Vibaya katika Maungo ya Mwili wake, na baba Mkwe wake kumpa
kipigo cha Kikatili kupita maelezo.
BABA MKWE- MANJIT MIRGIND |
Kwa mujibu wa maelezo ambayo BLACK TOUCHEZ
imeyapata, ni kwamba Mzee Huyo, MANJIT MIRGIND mwenye Umri wa Miaka 51 alimpiga
Vikali Mkewe Huyo, kwa kuhisi anamahusiano ya Kimapenzi na Mwanaume mwingine wa
Dini ya Kiislam
Aidha bado inasemekana Kuwa, tukio hilo
lilitokea mbele ya Watoto wa Bi Jageer, mmoja akiwa na Miaka 3, na Mwingine
akiwa na Miaka 6, huku akitamka kuwa atamuua.
MTAA AMBAO TUKIO LIMETOKEA, NYUMBANI KWA BI JAGEER |
Tukio hilo limetokea katika makazi ya Bi.
Jageer, yaliyoko KENSINGTON GARDENS, ILFORD, Mashariki Mwa Jiji la London,
uingereza.
Mzee huyo alikuwa akimkandamiza Macho Bibi Huyo
kwa Vidole Gumba, huku akitumia Kisu kumjeruhi mara Kadhaa, huku akidai kuwa
ameidhalilisha familia yake kwa kulala na Mwanaume huyo
Lakini Mpaka hivi sasa, Mahakama ya SHARESBROOK
CROWN , Nchini Humo, imemhukumu Kifungo cha Maiaka 10 na Miezi 8 Jela
EmoticonEmoticon