KUNA Swali ambalo unaweza kujiuliza mpaka sasa,
kwamba, Akina dada wanaofanya Biashara ya Ukahaba, wakishazeeka na Kustaafu,
Nini hatma yao?
Mpiga Picha Mmoja nchini Ufaransa, maefanikiwa
Kugundua mahali ambako makahaba wanaozeeka na Kustaafu Shughuli ya Kuuza Mwili,
huko Nchini Mexico.
Katika Jiji la Mexico lililoko Nchi ya Mexico,
Imebainika Nyumba Moja kubwa na Nzuri ambako Makahaba Wote wastaafu wanaishi
hapo.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyoifikia Ijumaa Mseto,
inasemekana Kuwa, Wastaafu wa Ukahaba wanaoingia Katika Eneo hilo, Ni wale tu,
wanaoanzia Umri wa Miaka 50 na Kuendelea, na Wanapata Huduma Zote Muhimu
sambamba na Vipodozi mbali mbali.
Jumba hilo lilifunguliwa rasmi Mwaka 2006, na
mpaka hivi sasa, jumla ya Wazee zaidi ya 250 waliostaafu Ukahaba, wameshapitia
eneo hilo.
EmoticonEmoticon