REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

T. I ANAKUJA NA VITU VIWILI KWA MPIGO..ALBAM NA MOVIE

1:59:00 AM

TI amekuwa na kaukimya Kimtindo hasa katika kazi zake Binafsi, tofauti na lilie Mbwadidi la Kukwaruzana na Polisi Wiki Chache zilizopita akiwa na Rafiki ake THE GAME.

TTM tumeweza kuzinyaka kwamba Rapper Huyu ambaye alifanya Poa na Mikwaju kama Vile GOT YOUR BACK, TOP BACK, WHATEVER YOU LIKE na Nyinginezo, anatarajia Kuachia Albam na Filamu yake, Miezi 12 Ijayo.

T.I amekuwa akiandaa Albam yake aliyoipa jina la PAPER WORK kwa Muda Mrefu, huku ikiaminika kabisa kuwa amekuwa akipitiliza hata Muda wa kupumzika ili kumaliza tu Project hiyo.

Pia T.I ameongeza kuwa, Yeye , PHARELL WILIAMS, COLUMBIA na HUSTKLE GANG wamekuwa Busy wakiandaa Albam ya Paper Work ambayo itazalisha Albam Tatu, yaani PAPER WORK l,ll,na lll ambavyo vinatarajiwa kuwa tayari ndani ya Miezi 12, pamoja na Muvi Moja inayomaliziwa Kwa hivi sasa

Kuna Uwezekano Mkubwa kabisa kuwa Albam hiyo ikatambulishwa rasmi Mwaka Ujao, ukizingatia Miezi 12 imeshaanza kutumika.

Pia awali amesema kuwa awali alipanga kuachia Mikwa 20 kwa kila ALBAM lakini hivi sasa ana mpango wa kuweka Tracks 13 kwa Kila Albam

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER