LINAWEZA Kuwa Ni
Drama lakini kadri linavyozidi kwenda maswali mengi yanazidi kujaa kunako
kichwa Zetu.
Wiki kadhaa
Zilizopita, Mustapha Colonel aliomba radhi kwa Nyota Ndogo na baadhi ya
Wanawake ambao waliitisha maandamano kwa ajili ya Kumpinga Mustapha na
Uzalilishaji wake wa kupiga Picha za Nusu utupu na Huddah
Lakini hali baada
ya Kudhaniwa kuwa imeisha, limezuka linguine tena baada ya Nyota Ndogo kumtolea
Uvivu ya MUSTAPHA Kudai kuwa, aliamua Kufanya hivyo, yaani kumuomba Radhi Nyota
Ndogo , ili kuepusha kuvunjika kwa Ndoa ya Star Huyo aliyehit na WATU NA VIATU.
Aidha wakati
akipiga Story kunako Moja ya interview Nchini Kenya Hivi karibuni, MUSTAPHA aliyevuma
na Kwaju la MTAANI.COM, alidai kuwa, kuna kubwa zaidi lililopo baina yake yeye
na Nyota Ndogo, tofauti na Zile Picha alizopiga na Huddah, lakini anamstahi kwa
Sababu hataki Kuivunja Ndoa yake.
Sasa TTM imenyaka
Majibu Kutoka Kwa Nyota Ndogo ambaye alijibu Hivi..TUNAMNUKUU
“Nimekua kimya toka mustafa alivyo omba
msamaha. kwanini?kwakuwa shida yangu ilikua aombe msamaha story kwisha. lakini
chakushangaza ni kuona huyu babu bado anatafuta mengine. eti hataki kuvunja
ndoa ya mtu? Mwambie avunje tuone kama wacha kuvunjika, kama tu itabambuka.
Pia anasema kuwa kuna kitu na taka
kwake. jamani mbona anajivuta vuta hivi kama shoga? ni aseme anachofikiria
nataka kwake. sijakataa watu wameniita nyanya. sasa wamwambie babu yao awache
maneno.maneno tulimaliza tu alipoomba msamaha. Mimi nimekuwa kimya, na yeye
anatafta story kutoka kwangu.”
EmoticonEmoticon