NI MARA CHACHE SANA KWA WASANII MALEGENDARY
KUKUBALIKA HATA KAMA WANAPOTEA KATIKA SOKO LA MUZIKI KWA MUDA MREFU NA HATA
BAADHI YA KAZI ZAO KUONEKANA KUTOSHIKA SANA KAMA ILIVYO KWA KIZAZI KIPYA.
Juma Lililopita, TTM tumebaini kuwa kumbe Rapa
JUA CALI anayewakilisha Vema Style ya GENGE, bado anakubalika kwa Mashabiki
zake, kama alivyo Juma Kassim Nature, licha ya nyimbo zake za hivi sasa
kutokupewa nafasi kubwa kama ilivyokuwa awali, enzi zao.
Hiyo ilithibitika Nchini Kenya wakati wa Show
moja (jina tunalihifadhi kwa sababu za Kibiashara), ambapo Mjamaica KONSHENS
alikuwepo maalum kwa ajili ya Kushusha Mbwadidi Matata.
Aidha TTM, ilizidi kuzinyaka kuwa JUA CALI
aliamusha Nyomi la watu kuliko Vile ambavyo wengi walidhani, na hata kusemekana
kuwa aliwafunika Wasanii wenzake kama akina WYRE, VICTORIA KIMAN, HABIDA na
Wengineo..
The same To Juma Nature Kibongo Bongo, Endapo
atasikika kuwa anashusha Mbwadidi sehemu Fulan, basi tegemea Nyomi la Kutosha,
na Shangwe za Heshima.
Muonekano wa JUA CALI ulikuwa Tofauti na wa Kumbukumbu katika Show Hiyo, baada ya Kuachia Afro tofauti na Tulivyokuwa Tulivyomzoea akiwa amesuka
EmoticonEmoticon