WAY BACK KIDOGO, TTM TULIKUPA MTONYO KUWA, RAPA
FLO RIDA ANAYEFANYA GOOD KUNAKO MUZIKI WA POP, ALIKUWA AINGIE MATATANI BAADA YA
KUBAINIKA KUWA HAJALIPA KODI KWA MUDA MREFU…
Lakini Baada ya kufuatilia kwa ukaribu ni kip
ambacho kingemkuta Swahiba huyu, KITENGO CHA CHIMBUA CHIMBUA ilizinyaka kuwa,
Florida kwa hivi sasa hana msala tena na serikali ya nchi yake baada ya kulipa
Deni lililokuwa likimkabiri.
Ripoti zilizidi kumiminika kuwa, Flo Ri alikuwa
na mbwadidi la Deni ambalo ni Dollar za Kimarekani MILLION 1.2, ambalo
inasemekana alilimbikiza kuanzia Mwaka jana.
Kama ulikuwa hujafahamu Pia, awali Flo Rida
alikuwa ameshafunguliwa Kesi ya kukwepa kulipa Kiwango Kikubwa cha Kodi,
ambacho ni Jumla ya USD 1,197,655, kuanzia mwaka 2009 mpaka 2011.
Hata hivyo, mpaka hivi sasa, bado haijawekwa wazi kama huyo ambaye ani mbaya kunako Kollables kama Vile WHERE THEM GALZ AT, amelipa kiasi chote anachodaiwa, ama amepunguza Deni
EmoticonEmoticon