RAPA NA MMOJA KATI YA WAANZILISHI WA
GENGE NCHINI KENYA, JUA CALI, YUKO KATIKA MCHAKATO WA KUHAMIA KATIKA SOKO LA
FILAMU NCHINI HUMO.
Unaweza Kujiuliza kama ni Mafanikio
ya Lupita Nyong;o Ndo yameleta hamasa katika Soko la Filamu Nchini Kenya,
lakini Ukweli halisi anaufahamu yeye Mwenyewe Jua Cali.
Juacali ambaye Infact anafanya Vema
hivi sasa na Track ya FURAHIA, alimiminika kuwa hivi sasa anajipanga ili
kuingia katika Sekta Hiyo ya Filamu, ambayo kiukweli tangia awali alikuwa anatamani Kujikita
katika Secta Hiyo hata kabla hajaanza
Kuimba...
Hapa tunamnukuu hiti maker huyo wa
KWAHERI na NIIMBIE akisema:
“Me naona mbali you know? Miaka tano ijayo
najiona nikiingia katika sector ya movies. Nimekuwa nikitaka kuingia katika
sector hii ya filamu tangu zamani. Sababu naamini ukiwa creative ya kutosha
waeza fanya chochote,”
EmoticonEmoticon