KAMA utakuwa unakumbuka Vizuri kabisa, jana TTM
tulikupa Kidokezo Kwamba kuna Info zisizo rasmi zimetufikia Kuwa Jombaa
aliyetikisa na Style ya TAKEU Nchini Tanzania, LUCAS MKENDA “Mr. Nice”,
alipokea Kifinyo Cha Hali ya Juu kutoka Kwa Jamaaa hivi.
Sasa baada ya Kukigiza Kitengo cha CHIMBUA
CHIMBUA Kutoka Dawati la Nyuma ya Pazia, Finally, Ripoti ya Awali imetoka.
Baada ya Kuzama kunako Mtandao wa BAABKUBWA.COM
ili kufahamu kipi ambacho kimejiri, inasemekana Kuwa Eti, Mr. Nice alikutana na
Mbwadidi hilo katika maeneo ya SINZA AFRIKA SANA jijini DSM,
CHIMBUA CHIMBUA ilizidi kutonya Kuwa, Chanzo
halisi cha Tukio hilo, Ni baada ya Mr. Nice Kumshobokea Demu Mmoja hii wa Jamaa
aliyekuwa Meza ya Jirani, akiwa Na washikaji Wengine.
Aidha ripoti inaeleza Kuwa, Mr. Nice Huenda
alikuwa ashalewa Vya kutosha, na Ndipo alipoanza Kutumia USTAA Wake kutaka
Kumpokonya Huyo Mamito, jambo ambalo Mhusika, yaani PAPITO wa MAMITO huyo
aliona Si Sawa, ni Bora nikafanya la Kufanyika.
Taarifa bado zinamiminika kuwa, PAPITO Huyo
hakuwa Pekea yake, bali alianza kushirikiana na wenzake, Kumfinya Haswaa Mr.
Nice mpaka kufikia hatua ya kukimbizwa Hospitali baada ya Kugndulika jamaa
keshapoteza fahamu
Lakini Info za Uhakika kutka kunako hospital ya
Mwanayamala iliyoko Daslaam, inthibitisha Kuwa Ni Kweli Mr. Nice amepokelewa
hospitalini hapo na kufikishwa ICU akiwa hajitambui na aliumizwa Sana
EmoticonEmoticon