EVERY DAY kunako Mastaa wa majuu,
talking Aboout Mbele, lazima kuna Jipya litatoka tu, ili mradi kuweza kufikisha
kile wanachokitaka kwa Fanz wao.
This time TTM tumekutana na Mtonyo
kuwa, Rapper Kanye West “Yeezy” yuko kunako Mchakato wa Kupika Albam Mpya
ambayo Eti, itchukua Masaa matatu akiongea Tu, kuhusu Maisha yake yeye na
Mchumba ake Kim Kardashian pamoja na motto wao North West
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun ambalo
pia lilipata mtonyo kutoka kwa mtu wa karibu wa Mkali huyo wa POWER,
Inasemekana Kuwa, KANYE anapenda sana kuisikia Sauti yake hasa anapokuwa
Anazungumza kuhusu Mishe mbali mbali hasa maisha yake na familia yake.
Kwa mantiki hiyo, Jombaa huyo ambaye
hivi soon anatarajia Kufunga Ndoa na
Mchumba Wake Kim, anaplan Kurecord Album Nzima ya Masaa 3 akizungumza Tu pasipo
Kuimba wala Kurap, bali ni Kuongea.
Pia Mitonyo inazidi kumiminika Kuwa,
Kanye hatanii kuhusu Suala Hilo, kwani kuna uwezekano Mkubwa target Yake ikawa
kunako Tuzo za Grammy hasa katika kipengere cha THE BEST SPOKEN WORDS ALBUM
Mzigo huo Utapatikana Kunako
Mitandao Mbali mbali ya Muziki, huku Wapenzi wa Burudani yake wakidownload
kupitia huko.
EmoticonEmoticon