UKIMYA Mkubwa saaana umetawala kwa
Mwanadada SIZE 8 tofauti na kipindi Cha Nyuma kabla hajaokoka na hata kuolewa
na mumewe DJ Mo, lakini TTM tunaamini huenda Jombaa hapendi sana kuanika anika
Ovyo masuala yao mbali mbali.
Lakini Kutokana na hali halisi
ilivyokuwa katika Moja ya tamasha huko nchini Kenya, SIZE 8 alishindwa Kupinga
Ombi ambalo liliombwa na Mashabiki waliokuwa Wakipokea burudani yake hasa
wakati Yuko kwa Stage.
Ngoma Nzima wala Sio Mbaya, Ni nzuri
kwa sababu wakati Size 8 ameshika Kipaza sauti ili aweze kushusha Mbwadidi la
Moto Mkali Kutoka Kwa yesu, Mashabiki wake walikuwa Wakipiga Kelele wakimtaka
aimbe na “Mahaba Ninyonge” wake, yaani Mumewe DJ Mo.
Baada ya kuona hali imeshamili, basi
DJ Mo ambaye huwa haachani na mkewe katika Show yoyote, hakuwa na Budi kupanda
Kwa Stage na kumpa kampani Mkewe huyo.
Vuta Picha ilkuwaje..
EmoticonEmoticon