JUMA LILILOPITA , TTM TULIKUPA MTONYO KUWA RAPA
2 CHAINZ ATAPANDISHWA KIZIMBANI KUWEZA KUPOKEA HUKUMU YA MASHTAKA YANAYOMKABILI
YA KUKUTWA NA DAWA YA CODEIN AMBAZO
HUTUMIKA KUTENGENEZA DAWA ZA KULEVYA AINA YA SIZZURP.
Baada ya KICHICHI (KITENGO CHIMBUA CHIMBUA) ya
TTM kufuatilia kwa Ukaribu kuhusu ishu hiyo, finally tumezinyaka kuwa, Rappa
huyo amekutwa hana hatia na kesi inayomkabili
Kwa mujibu wa TMZ, inasemekana kuwa Kesi hiyo
wala haikuchukua Mud asana, na Info zilizozagaa ni kwamba 2 Chainz Maarufu kama
TITY BOY amekutwa hana hatia.
Iwapo Rapa huyo angedakwa na hatia, basi Angekaa
Nyuma ya Nondo kwa Muda wa Miaka 3
EmoticonEmoticon