CHRIS BROWN hana ubaya na wala hana mpango wa
Kulianzisha Timbwili baina yake na DRAKE kutokana kuwa karibu na RIHANNA
Kwa Mujibu wa Mtandao wa TMZ, TTM tumebaini
kuwa, Breezy hata haumizi kichwa kwa ajili ya Ukaribu wa Rihanna na Drake,
licha ya kutokuelewana Vizuri (Brown na Drake), kwa sababu hivi sasa akili yake
ipo katika kusaka Mkwanja, pamoja na kuandaa ujio wake katika Music Industry
Kama utakuwa unakumbuka Vizuri, Ishu ya Drake
kuwa karibu na Rihanna ilionekana muda mrefu kidogo, lakini ukaribu wa Nchini
Ufaransa katika Jiji la Paris, uliwafanya wawili hao kutengeneza HEADLINES
Kubwa Ulimwenguni Kote
EmoticonEmoticon