CANDY n CANDY RECORDS Nchini Kenya huenda ikazaa
matunda na hata kupata Sifa kama Lupita Nyong’o ambaye hivi sasa ni talk of the
World.
The real Good News ni Kwamba, Track ya NICE
& SLOW ambayo Mtanzania BABY MADAHA na JOE CANDY waliifanyia vema, imeweza
kushika NAMBA 4 Mpaka hivi sasa Kupitia TOP 30 CHART UK katika Mtandao wa
REVERB NATION.
Aidha Track Hiyo ambayo imejaa Utamu wa Kutosha,
imehusisha Sauti Fulani hivi za kimahaba zikiwa zinanong’oneza, ambazo ahusika
wa sauti hizo ni wa Kujiita QUEEN OF SWAGGZ – BABY MADAHA, huku Vocal La kiume
kutoka kwa JOE CANDY, likijibu kwa mbali maneno Fulani hivi.
Tofuti na Audio Hiyo ambayo inazidi kupeta kama
hivyo, Video ya Track hiyo NICE &
SLOW imeshakamilika na jana ndo imeingizwa rasmi kunako mtandao wa Youtube.
Video hiyo Clean kabisa ikiwa na vikolombwezo
kibao, imesimamiwa na kampuni ya PLATNUM –HYP FILMS kwa ushirikiano mzuri na
Candy n Candy Records.
Big Up Kwa Baby Madaha na Candy N Candy Records
Nchini kenya
CHECK VIDEO YAKE HAPA..
EmoticonEmoticon