UNAWEZA Kujiuliza Mtu
kama PREZZO katupwa wapi na wasanii wengineo kama vile JAGUAR, NONINI, na
Wengineo?..Kwani hawapigi Mikato Mikali?.
Lakini Iko hivi Mazee…
TTM (#TUKOMBELE)
Tumekuja Kubaini Kuwa, most Of the Pics ambazo zinamuonesha Octopizzo katika
maeneo Mbali mbali na Mishe zake Tofauti, anakuwa amekunja mikato ya hatari
ambayo inamfanya kung’aa sana
KATIKA kudhihirisha
hilo, Mwaka jana katika Tour ya Kombe la Dunia Nchini Kenya, OCTOPIZZO alikuwa
Ni Moja kati ya wasanii walioperform mbele ya rais wa Nchi Hiyo, Uhuru
Kenyatta. Katika Moja ya Kitu ambacho kiliwavutia mashabiki wake Wengi, ni
Pamoja na Dressing Code aliyokuwa amevaa iliwavutia wengi ikiwemo Cheni Nyingi
alizokuwa amevaa Pia.
Kama Unahisi unahitaji
kuamini kuwa OCTOO ni Mbaya sana katika mavazi, Unaweza Pia Kucheki Video yake
ya NINI, jinsi ambavyo amepiga Zile GUCCI na Sneakers Nyeupe kali ambazo zina
Logo yake.
EmoticonEmoticon