SWALI ambalo TEAM TUKO MBELE tunajiuliza Mpaka hivi
sasa.JUSTIN BIEBER alikuwa anatumia MAYAI VIZA?...ama MAYAI SAFI?
SASA IKO HIVI…
Justin Bieber
anatuhumiwa kuanzisha Vita ya mayai kwa Jirani yake Usiku wa Kuamkia jana. Kwa
mujibu wa Maelezo Ya Jirani Yake Huyo, ambaye TTM bado tunakomaa kulipata jina
lake, anasema kuwa wakati yuko Ndani, alishtuka Kusikia Milio nya Vitu
vikiponda Milango na Madirisha yake, jambo ambalo lilimfanya atoke Nje kufahamu
Kinachoendelea.
Baada ya Kutoka Nje,
Jirani huyo anadai alimuona The Majanga Boy, JUSTIN BIEBER akirusha Mayai
Katika Mlango wake Ghorofa ya Kwanza. Baada ya Kuona hivyo, jirani huyo aliamua
Kushuka Chini, ili afahamu sababu ya Bieber kufanya Hivyo.
Aidha Jamaa huyo
anaongeza Kuwa, Baada ya kushuka Chini na kuanza kumuuliza nini ambacho
kinaendelea, Justin alianza Kumponda na mayai Jirani huyo, jambo lilimfanya
arudi Ndani kujinusuru na balaa hilo.
Jombaa baada ya Kuona
hali si Nzuri, aliamua kupiga Simu Polisi ili kuomba Msaada, kitu ambayo Pia
ilitokea na hatimaye Kusaidiwa.
Mpaka Polisi wanafika
katika Eneo la Tukio ambalo ni CALABASAS majira ya Saa MOJA UNUSU Jioni,Mayai
bado yalikuwa yametapakaa
Milangoni na Sehemu Nyinginezo.
Mpaka sasa
haijajulikana kama POLISI walipiga Story na BIEBER, lakini BIEBER mwenyewe pia
hajazungumza Lolote Mpaka sasa
EmoticonEmoticon