Wiki Hii SNOOP DOGG ama wamweza kumuita SNOOP
ZILLA, zaman Snoop Lion, amewapa wakati mgumu watu wa Zima moto katika Hotel
Moja ya Australia alikokuwa amepoz.
Ulalalaaa. Unaweza kujiuliza Kawapa hardtime
kivip,
SNOOP alivuta Ile kitu yake
SSSSSSSSSSSSSS..yaani Mmea Korofi wenye majina Mengi, wengine wanasemaga WEED,
MARIJUAA..BLANT…BAN…. akiwa katika Cghumba hicho, lakini Ule Moshi wake ukawa
Mwingi kupita kiasi, n hatimaye kuzifanya Kengere za moto ama FIRE ALARMS za
chumba hicho Kuanza kufanya kazi yake.
Inasemekana baada ya watu wa Zima moto kusikia
hivyo, walichomoka Mbio Kali kwenda Kupambana na tatizo la moto, pamoja na
kufahamu tatizo limetokana na nini na Limetokea Wapi.
Aidha baada ya kutia Timu katika hotel hiyo,
walibaini kuwa kilikuwa ni chumba ambacho SNOOPY alikuwemo, na walipoingia
walikuta ni Moshi wa kitu cha OHO..koho..Koho..ingawa hawaakubainisha kama Ni
Weed.
Inasemekana kuwa jamaa walipobaini Hilo,
walimaind Balaa , lakini baada ya hali kuwa Shwari, Snoopy aliamua kupoz nao na
Kufotoa Mnato a.k.a Picha kwa ajili ya Instagram..na kuzungumza nao akisema
kuwa eti anatamani kuwa Mmoja wa Zima moto.
Snoopy anajua Kuua Soo.
EmoticonEmoticon