SWALI ambalo TTM… Tunaweza Jiuliza, kama Hili
Ofa lingekuja Bongo, wangapi wangejitokeza…Ulalalaaaa
Ladies And Gentz
BILLIONEA MMOJA Mkubwa sana katika Jiji la HONG
KONG, ametoa Offa ya Dola za Kimarekani Millioni 130 Kwa Mwanaume Yoyote
atakayeweza Kumridhisha na Kumbadilisha kabisa Binti yake ambaye ameathirika na
Mapenzi ya Jinsia Moja..Yaan “USAGAJI”
Big Money Boss huyo ambaye anafahamika kwa jina
la CECIL CHAO, amesema Kuwa, Mkwanja huo utakuwa Ni mali ya Mwanaume yeyote
ambaye atafanikisha Zoezi hilo na hatimaye Kufanikiwa kumuoa Binti yake huyo
GIGI CHAO, na hatimaye Kumpatia wajukuu
Awali, Jombaa huyo ambaye alikuwa Topic wa Media
Mbali mbali, yaani alikunja Headlines kibao Mnamo Septemba Mwaka 2012, awali
alitangaza dau la Dolari Milioni 65 kwa Mwanaume yeyote atakayempokonya Binti
Huyo kwa Mpenzi wake wa Kike, na baadaye Kupandisha Dau.
Tofauti na hilo, Dingi huyo ambaye ni Bonge Moja
la Business man bin Mfanya Biashara, alisema kuwa atatoa maisha Bora Balaa kwa
Mwanaume Huyo atakayeishi na binti yake katika Ndoa na Kupata watoto huku
akimbadilisha kabisa tabia Binti yake GIGI.
EmoticonEmoticon