A LOT OF PEOPLE Watakuwa wanaifahamau Vizuri Sana
LABEL ya BAD BOYS ambayo imekuwa Chini ya Usamamizi ya RAPA Sean Combs maarufu
kama P. Diddy ama Diddy “Dirty Money”
Now, Mtonyo ambao Umetufikia TTM na tukaona Si
Vema Kuulazia damu, ni Kuwa Kuna Tetesi eti Recording Label hiyo ambayo imeanza
kufanya kazi Tangia Enzi za akina NOTORIOUS B.I.G inaweza kufungwa baada ya
kubainika kwa Utaratibu ambao wengi wameshindwa Kuuelewa.
Kwa Mujibu wa Mtandao wa ALLHIPHOP, Inasemekana
Diddy amekuwa akiwaruhusu wafanyakazi wote BAD BOY Kusepa, ama Kuwapeleka
kunako Ofisi zake Nyingine, yaani REVOLT TV na Kinywaji cha CIROC Tangia
December Mwaka Jana
Pia Inasemekana Kuwa, baadhi ya wasanii ambao
wako Chini ya Lebel Hiyo, akiwemo JANELLE MONAE, FRENCH MONTANA wametolewa
katika Lebo hiyo, na Huenda wakapelekwa moja kwa moja katika Lebo ya
Interscope.
Diddy hajathibitisha Kuhusu hilo, lakini TTM
tutazidi kuwavujishia kile kitakachopatikana Kuhusu Suala Hili
EmoticonEmoticon