Naamini Utakuwa unalifahamu Lile Track ambalo
lilifika Top Charts za Kimataifa, nazungumzia THRIFT SHOP..Yes.. sasa Iko hivi.
Mkali MACLEMORE na Mwenzake RYAN LEWIS ambao pia
wametoa Track ya SAME LOVE ambalo linaonekana kuhimiza Mapenzi na Ndoa ya
Jinsia Moja, wamechaguliwa Kuwa Mabalozi wa UNITED NATIONS FREE & EQUAL
CAMPAIGN
Katika majukumu
ambayo wanaonekana kupewa Maclemore na Ryan, ni kuwa mabalozi ambao watakuwa
wakisaidia katika Campaign za haki za mapenzi ya Jinsia Moja Hasa mashoga
WAWILI hao ambao walitoa kwaju hilo
la Same Lovewalionekana kuwa Kivutio na kipenzi kikubwa Umoja Wanaofanya
mapenzi ya Jinsia Moja LGBT (LESBIAN,GAY,BISEXUAL AND TRANSGENDER), wamekubali
ombi la Nafasi na Shughuli Hiyo katika kampeni inayoitwa EQUALITY CHAMPION.
Wakizungumza kuhusu Uteuzi huo,
Macklemore na Ryan wamesema kuwa maefurahi sana kupewa Heshima uya Kufanya kazi
na Umoja wa Mataifa (UN) ili kusaidia kusambaza
ujumbe kuhusu usawa hasa katika mahusiano na hata Jinsia, pamoja na
kutoa elimu ya Kutosha kwa mapenzi ya Jinsia Moja LGBT.
Naye Afisa wa Haki za binadamu
katika UMOJA WA MATAIFA –UN, CHARLES RADCLIFFE, ameongeza wawili hao
wamekuwawashirika wazuri katika Muziki kwa Hivi sasa, na Wanapendwa sana
na watu wengi Ulimwenguni. N Ndio maana Track yao hiyo, imeweza klusambaza
Ujumbe wa haki sawa hasa Kwa Binadamu Wote Ulimwenguni.
Kwa mantiki hiyo, watasaidia saana
kushirikiana na Shirika la UMOJA WA MATAIFA katika kazi za Kuhimiza Usawa na haki
kwa Kila Mtu.
EmoticonEmoticon