Kama
Utakuwa mfuatiliaji Mzuri wa Muziki hasa Afrika mashariki na hata Kimataifa
zaidi, naamini Utakuwa unfahamu kuwa CANNIBAL na CMB PREZZO Wote wa Kenya
walijumuika pamoja na Kuunda Music Unity kupitia Kundi la MAKINI MUSIC GROUP.
Baada
ya kukubaliana Kufanya kazi pamoja, wawili hao waliweza Kiteka 254 na East
Afrika Kiujumla kupitia Kwaju lao La MY CITY, MY TOWN
Lakini
baada ya Muda kadhaa baada ya Kufanya Ukali wao Huo, uhusiano wao Ulionekana
kwenda Kombo baada ya Kutokuasikia Collable Nyingine Tena kutoka Kwao, na hata
Ushirikiano wa aina yeyote Kutoka kwao.
Aidha
Inasemekana kuwa, Awali Macahalii hao wawili pia walionekana kuwa Pamoja Sehemu
Tofauti kama Majembe yaliyoshibana, lakini baada Ya Muda Prezzo akaanza kuonekana
Mwenyewe katika Sehemu tofauti, jambo ambalo lilizua Mjadala.
Kwa
Mujibu wa Mtandao wa Daily Post Nchini Kenya, Canibal aliweza kuzungumzia Suala
Hilo, huku akimdai kuwa alishtushwa na kitendo ambacho alikifinya PREZZO
asichokitofautisha na Usaliti.
Canibal
alielezea kuwa, kunakipindi alikumbana na Tatizo, ambapo alishikiliwa katika
Moja ya Hotel Kunako Dunia Ya maraha, DUBAI,ambapo anadai alitelekezwa na na
Promota ambaye alimpeleka huko kupiga kazi. Na baada ya Promota Huyo Kutokomea,
cannibal alishikiliwa na uongozi wa Hotel Hiyo, ili aweze Kulipa Gharama kubwa
alizokwishatumia.
Pia
Cannibal aliongeza kuwa, Badala ya kupokea Support Kubwa kutoka kwa Prezzo,
badala yake Mkali wa Marry Marry (PREZZO) alianza Kumkandia kupitia account
yake ya Tweeter, jambo lililomfanya cannibal kumtema
EmoticonEmoticon