IKIWA ni Muda Kadhaa tangia Amamua Kuzima katika Michakato
ya Mikwaju ya Kidunia na Kuamua kuingia katika Mikwaju ya Injili, Mwanamama
Size 8 al the way from 255 Kenya, amekumbana na CLASSIC Skendo. Unataka kujua
ni Ipi, Basi Zima nikupe Mtonyo.
Kwa Mujibu wa Mtandao wa Daily Post kupitia Nairobi Exposed,
inasemekana Kuwa Mwanadada huyu mweye kila hadhi ya Kuitwa Sexy beibe amewatupa
Wazazi wake waili ambao maiosha yao ni Magumu.
Mwanadada huyo anayemiliki Mamilioni ya Fedha huku akitikisa
na Kwaju la MATEKE, anadaiwa kuonekana kumwaga Mikwanja katika kunisa ambalo
inasemekana Eti, ndilo ambalo hulitumia kufikisha Maombi yake kwa Mwenyezi
Mungu.
Tofauti na Kulisupport sana kanisa hilo linaloitwa BARAKA
INTERNATIONAL CHURCH liliopo Kairobangi South Mjini Nairobare, Size 8 anadaiwa
kusitisha huduma na Kumpotezea kabisa Bi. Mkubwa ake, yaani mama ake.
Wadaku hao wamefafanua Chanzo cha SIZE 8 Kuwakaushia wazazi
wake hao, ni kutokana na kutokuwepa kwa Maelewano mazuri baina yao (Wazazi
Wake)
Pia inasemekana kuwa, Wazazi wake wamekuwa wakijitahidi
kumpigia Simu mara kwa mara, lakini Eti, SIZE 8 huwa anazipotezea kabisaaaa
EmoticonEmoticon