Mangwea, Cow Obama, Cow Wizzy
Radder Entertainment Mates, T.I.D & Mangwea
Na Frank Joachim & Baab Kubwa
Zilisikika Kinoma sana kuhusu
Tour ya T.I.D na Mnyama mwenzake wa Radder Entertainment, Albet Mangwea “Ngwair,
Cow Boy, Cow Obama, Cow Wizzy” watashuka Madiba land “South Africa” katika
Kipindi hiki hiki cha Eid.
Sasa unajua kilichijiri
sasa?...Mhhhhhhh…Eti Mangwea si amekula Chocho, simu yake haipatikani na
kumuacha T.I D Njia Panda?
Kwa Mujibu wa Baab kubwa zimedondoka
kuwa mwanzoni Mangwair alidai hana passport akapewa mkawanja wa kwenda kutatua
suala hilo but baada ya kukamata mkwanja tu…akasepa kusikojulikana.
Baada ya kutafutwa bila mafanikio
TID ameamua kuondoka mweneywe kwenda
South of A kukata kiu.
What will Happen, Stay here Here
!!!!!
EmoticonEmoticon