Na Rich Sam
#WatuWaMungu hakuna mtu ambaye huwa ankutana na changamoto nyingi sana chini ya Jua hili kama Mtu maarufu katika sekta yoyote ile ile, lakini anafahamika tu katika kona mbali mbali
NICKI MINAJ ambaye aliamua kuisogeza album yake aliyoipa jina la QUEEN mpaka AUGUST 10, inawezekana kabisa akawa ameamua kuhusisha Nyimbo nyingi za kuwahamasisha akina mama kuwa imara na kuepukana na unyanyasaji ambao unafanywa na baadhi ya wanaume hasa katika mahusiano yao ya kimapenzi ama ndoa
Katika kuwahamasisha zaidi wanawake hasa kutambua umuhimu na hadhi yao kwa wanaume, Nicki Minaj ametweet kuwa amewahi kuchumbiwa na wanaume watatu kati ya wote ambao amekuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi, huku wanne wakimtaka wazalie mtoto, kitu ambacho hakuona umuhimu wake na badala yake akaamua kutolea nje
Tunamnukuu
"Tambua thamani yako. Nimechumbiwa mara 3, Boyfriends zangu wanne waliniomba niwazalie watoto. Kihisia, kiakili na kimwili nimeonewa na kudhalilishwa. nilionesha tabasamu la uongo ingawa sikuwa na furaha. Nimedhalilishwa, nimeonewa sana"
EmoticonEmoticon