REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KUDADADADAEKI !!. NI KWELI SEAN KING STON AMEFULIA KIMUZIKI NA HATA KIMKWANJA KAMA INAVYODAIWA, ILA UMEMUONA DEMU WAKE?

12:47:00 AM

Na Baba Juti   
WAUNGWANA !!!!!!. Mtu anaweza akawa anadaiwa kufulia saaaana, akakutana na kichambo cha hapa na Pale na ukosoaji Mrefu sana kuhusu maisha yake, lakini bwana, kama Manzi wake anampenda , wala hawezi kumuacha

Dance Hall Big Bway-SEAN KINGSTON amedhihilisha kuwa, kufulia kimuziki haiwezi kumfanya pia akafulia katika Sekta ya Mademu wa kali, maana yuko Fit Kupita Maelezo.

Tofauti na Rappers wengine ambao wamekuwa wakijikita kwa wanawake ambao ni wacheza Utupu katika - Club za Wacheza Utupu, ama kutinduana na Makahaba, SEAN KINGSTON kajitupa kwa Binti Mrembo kuliko kawaida anayeitwa ANGELA, ambaye pia ni mwanamitindo.

Tofauti na Uanamitindo, Shemeji yangu kwa Sean Kingston, pia ni Mtaalamu wa masuala ya TECHNICAL Issues, hivyo yuko Vizuri kila Kona

Sean Kingston amekuwa akiandamwa na mabifu ya hapa na pale huku akidaiwa kufualia sio kimuziki tu, bali hata kimkwanja, lakini hivi majuzi kadhihirisha kuwa hayo yote mtayasema ila bado atabaki kuwa na Demu Mkali balaa

MTIZAME HAPA MREMBO HUYU MATATA





Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER