Na Baba Juti
KIBONGO BONGO najua Madreva "Boda Boda " ndo huwa wanakutana sana na timbwili la "Makahaba" amba huwafanya hata kusahau kabisa kuwatoza mkwanja.
Hata wale ambao ni Madreva Tax pia hapa Bongo, huwa wanakumbana na mizigo ya aina hii, ambapo wanambeba binti halafu mwisho wa siku , akimfikisha semeu, anamwambia hana hela, labda ampe "Dudu", na kwa wale wenye ukata, basi hujikuta wakisafisha haja yao kwa "kuwatindua"
Sasa Nchini Marekani bwana, kuna huyu bibie ambaye kajichukulia umaarufu na hata nafasi namba moja kwa kuwa "Kahaba" ambaye huwatumia Madreva UBER kupiga safari zake bure, na kisha wanatoa mkwanja bila wao kutarajia.
Wamempachika jina la KAHABA WA UBER, maana jina lake halijafahamika Mpaka Hivi sasa, lakini mkwanja ambao anauvuna huwezi kuamini aisee
Binti huyu hutumia mbinu kadha wa kadha kabla hujatoa Hela lakini ni tayari anakuwa ameshaingia ndani ya Gari la Uber
NJIA ANAZOTUMIA
- Anakuimbisha Kule anakoenda kwa sauti laini, na kila aina ya Mitego
- Mkishaingia kwenye Gari, Style ya Kukaa tu, mwenye utashusha mikono, inaitwa BFFU (But First For You)
- Baada ya hapo, huruhusu mapaja yake yakuchangany akili, hasa wakati unaongea naye na hata kuwasha Gari
- Kisha atakuambia uweke wimbo anaoutaka, na unakuwa ni wimbo ambao umetawaliwa na maneno ya ngono, na kisha huanza kuimba huku akicheza
- Huanza kucheza Style kadha wa kadha huku akitikisa "Kalio", style ambayo huitwa TWERK
- Baada ya Hapo, huchukua Selfie ya kila kinachotke huku akikushawishi ujaribu japo kumshika unapopataka wewe Dreva
- Baada ya hapo, huanza kukuambia Bei, na huanzia chini kabisa ambapo lazima utakuwa unakubali, na ukifikia Bei yake, imekula kwako.
- Utakachokuwa umekosea, ni pale utakapomruhusu aondoke na video clips, maana anatishia kuzivujisha..au uwe unamchapa kila siku
EmoticonEmoticon