Na Baba Juti
#WatuWaMungu mnamkumbuka yule Msanii wa R&B Nchini Marekani ambaye tuliwahi kukuambia kuwa Wengi wanalalamika kuwa "anatoa Harufu mbaya?"...sasa kuna hili jipya kuhusu yeye
Yes, anaitwa KEHLAN ambaye safari hii kaamua kuachana kabisa na masuala ya Kutinduana na Wanaume kutokana na lawama za kutoa Harufu Nzito, na ameamua kujikita katika Mapenzi ya Jinsia Moja
Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tumezipata mpaka hivi sasa, ni kwamba Kehlan amekuwa akikutana na changamoto ya wanaume kudumu naye katika Mahusiano, huku sababu kubwa ikiwa ni kutoa Harufu Nzito, hasa katika Sehemu kadha wa kadha za Mwili wake
MAHABA: Kehlan (Kulia) akiwa na Mpenzi wake Mpya (Jina halijapatikana) |
Hivyo Kutokana na hilo, Kehlan ameamua kujitosa katika Mahusiano ya Jinsia moja, maarufu kama Usagaji
EmoticonEmoticon