Na Baba Juti
GOOD MORNING TANZANIAAAAAAAA !!! And Off Course Kumekucha Upande wa Bongo Movie, maana sio kwa "ndimu" aliyamua kukamua Muigizaji wa Bongo Movie kwa upande wa Mabinti, tunamzungumzia Nisha Bebe
Kama Mtakuwa ni Mashabiki wazuri na wafuatiliaji wazuri kabisa wa Msanii huyu, Week hii mnajua kuwa amesherekea Kutimiza Miaka yake Kadhaa tangu aanze "Kuinusa" Dunia hii
Lakini Katika Hali Nyingine, Binti huyu ambaye pia ni Mjasiliamali Mzuri tu ambaye pia ni mkali zaidi katika "Comedy" aliamua kulimimina la kwake kwa wale wote ambao humchamba kwamba Makalio yake yamepigwa PASI kitu ambacho kinaonekanaga kumkwaza sana bibi huyu
Kupitia Instagram account Take, Nisha aliandika Hivi
- "Halafu nyie mnaosema nimepigwa pasi sijui sina shepu #MUNIKOME TUKIVAA VIGODORO MANENO,MTU AKIWA ALIVYO MANENO,hemu chunguzeni wanawake wazuri wote duniani na wenye mashepu na status zao,ndo wale wanaoishia kupiga picture za uchi,kujiuza,kuishi kwa kutegemea mabwana n.k.
Then tazama status za waliofanikiwa wote.
OMBA MUNGU AKUPE AKILI,AFYA NJEMA,IMANI,HESHIMA,UPENDO,MAARIFA NA KIPATO,SOTE TUMEUMBWA KWA MFANO WAKE.
KUTENGENEZA SHEPU NI DOLAR 6000 TU (ML.10 NA KADHAA)NI SAWA NA NISTOPISHE KUSAFIRI SAFARI MBILI ZA NJE NINAZOENDA KILA NDANI YA MIEZI MIWILI,NIJIBADILI KWA KUJITENGENEZA HIZO SHEPU ZENU INDIA AU THAILAND.
NAPENDA MUNGU ALICHONIPA NA NAJIVUNIA,SIISHI KIFEKI FEKI KAMA WEWE BORODOZWA,WE UNAYEKOSOA WATU WKT HUNA MBELE WALA NYUMA SURA KAMA ULOTAPIKWA NAKOBRA.
MUDA HUO UNAOKOSOA UNGEJIINGIZIA KIPATO USINGEKUWA UNAKOPA BANDO #ISHIMAISHAYAKO B*TCH NAJIKUBALI NA HALI YANGU."
Share this
EmoticonEmoticon