Na Baba Juti : SOURCE: MPASHO
#WatuWaMungu Hii Kitu imetushtua na kuamua kuishusha kwako ili japo nawe upate kujua kile ambacho huwa kinaendelea katika ulimwengu wa sasa aisee
Nchini Kenya, Kuna Taarifa Imtoka kuwa, Wanawake Wengi huonekana katika Maeneo ya Starehe katika Viunga Mbali mbali vya Jiji La Nairobi wakiponda Bata, pengine kuliko hata wanaume
lakini Ukiachilia mbali suala Hilo, Pia imebainika kuwa, Wanawake Wengi Nchini Kenya kuanzia Siku Za Ijumaa, huonekana kwa Wingi katika Night Clubs kibao ambazo hupatikana katika Viunga mbali mbali vya Jiji la Nairobi
na kama haitoshi, Wanawake Wengi Nchini Kenya hasa katika Jiji la Nairobi, hulewa kupita Maelezo na huwa wanashindwa kujizuia ama kuji-control katika Suala la matumizi ya "Tungi" tofauti na Wanaume ambao wanajua namna ya Kujicontrol
Hali hiyo huwafanya Wanawake kukutana na majanga Mengi, ikiwemo kugongwa na Magari wakiwa wamelewa, Kuibiwa ama Kuupigwa Roba, sanjari na hili jipya ambalo ni Kubakwa mara kadhaa
Taarifa ambayo tumeipata Mpaka Hivi sasa , ni kwamba, kuna makundi mawili ambayo yamekiri bila kificho kuwabaka Wanawake Jijini nairobi ambao hulewa kupita maelezo. Makundi hayo ni pamoja na WALINZI na MACHOKORAA (Watoto/Vijana waishio Mitaani)
WALINZI: walikiri Kuwa, Ni kweli, wanawake wa nairobi asilimia kubwa wamekuwa wakilewa kupita Maelezo na hata kukatisha katika Maeneo yao mida ya Usiku wakiwa wamelewa. lakini wanawake hao huvalia mavazi ya kikorofi ambayo huwafanya Washawishike na kuamua kuwabaka
Tunamnukuu Mlinzi Mmoja
"Watakuwa Wamelewa Sana, na wakati huo wamevalia Mavazi ya Kichokozi. Basi Walinzi huwachukua na kuwapeleka Sehemu zenye Giza ambazo wanalinda, na kisha kuwabaka"
MACHOKORAA: pia wamekiri kukutana na wanawake wa aina hiyo ambao huwashawishi na kuwafanya watamani kufanya nao Tendo la Ndo. Hivyo hulazimika kuwakamata na kuwapeleka katika meneo ya kujificha na Kumalizana nao
Tunanukuu mmoja ya Wabakaji akisema
"Wanawake Waliolewa wakijichanganya Tu katika Maeneo Yetu, tunawashughulikia Ipasavyo"
EmoticonEmoticon