Na Baba Juti
TUMEKUWA tukiimba
sana hapa kuhusu taratibu za rapper T.I kutaka kutoa talaka kwa Mke wake Tinny,
jambo ambalo limechukua asilimia kadhaa ya sababu za huku na kule kwa wawili
hawa kuachana ama kupigana Chini.
Lakini katika hali
ambayo sio ya kawaida, kumekuwa na fununu ambazo zinadai kuwa Mke huyu huyu wa
T.I ambaye hivi majuzi majuzi tu alijifungua, hivi sasa pia ni Mjamzito
Kwa Mujibu wa wadakuzi
ambao kawaida yao huwa wakiona kitu hawafichi kumimina Umbea wao, inasemekana
weekend iliyokata, bibie huyu alionekana dhahiri kitumbo chake kikiwa na
Mabadiliko, na mabadiliko yenyewe ni ya kubeba kiumbe ndani yake na wala sio
Kushiba hata kidogo
Ingawa mpaka hivi
sasa haijawekwa wazi na familia ama wahusika wa Familia ya T.I na Tinny, bado
wengine wanazidi kusisitioza kuwa ni kweli bibie huyo anatarajia kushusha
Kichanga pale muda utakapofika.
EmoticonEmoticon