Na Baba Juti
#WatuWaMungu FLOYD MAYWEATHER amahitaji kuhakikisha kuwa
haukosi utamu wa Mahaba kutoka kwa Bibie huyu kabla Mwezi huu wa 5 haujakata
aisee….
Mwanamasumbwi huyu ambaye anamiliki Mkwanja mrefu na kuwa na
Majanga kadha wa Kadha, aliamua kuweka wazi kuwa anatamani “Kumtindua” Binti mmoja ambaye anafahamika kwa jina la
KEYSHA LUV
Mwanamitindo huyu ambaye huuza Nyago katika Matangazo kadha
wa kaddha ya Bidhaa huko Marekani na kwingineko, alipost Picha yake “Tanu Si
Mchezo” na kuandika kuwa
“Ninajihisi kama FLOYD katika Hali ya Hewa ya Mwezi May (May
Weather)”
Lakini Muda Mfupi baada ya kupost Hivyo, Floyd ambaye ni
Mwanamasumbwi Mstaafu anayemiliki Kampuni ya TMT yenye kufanya Mishe Nyingi
alijibu kuwa, anahisi “Kumtindua” katika Mwezi huu May
“Niniahisi Kukutindua katika hali Ya Hewa ya May”
Lakini kama Ulikuwa Hufahamu, Mwaka Huu, Binti huyu
alihudhuria katika BIRTHDAY PARTY ya Floyd Mayweather, na inasemekana kuwa huwa
anajiweka sana ili anase katika “Kumi na Nane” za Floyd
So, unadhani Mrembo huyu atamnyaka MayWeather?
EmoticonEmoticon