HII SIO PICHA HALISI: Kumekuwa na Matukio Mazito kupitia Live Streaming ikiwemo Vifo na Udhalilishaji |
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Ifikie
Mahali sasa tuanze kuwa watu ambao
tunathamini utu Wetu na kuacha kupelkwa pelkwa Ovyo na Mitandao ya Kijamii,
ingawa tunajua inatusaidia kwa Kiasi Fulani
Binti wa Miaka 28-
LUCY McBERG amejikuta akifariki Dunia wakati akijifungua, na tayari alikuwa
akistream Live kupitia Instagram account .
Lucy ambaye tangu
awali alitoa Taarifa na ahadi kwa Followers wake Wote, alisema kuwa atakuwa
LIVE Siku ya Jana akiwa anajifungua watoto wake mapacha, maana amewasubiri kwa
hamu na alitaka awatengenezee Historia ya Tofauti.
Zaidi ya Watu 100
wakiwa ONLINE kumshuhudia Binti huyo akifanya Tukio Hilo, LUCY alifanikiwa
kujifungua Mtoto wa Kwanza akiwa peke yake na Simu akiwa ameitegesha Mahala
kuhakikisha anaonekana Vizuri, lakini bahati mbaya hakugundua kuwa alikuwa
akivuja Damu Nyingi sana
Licha ya Watu
kujitahidi Kucomment kuwa anatokwa Damu Nyingi, LUCY ambaye ni Raia wa
Uholanzi, hakuona Kirtu hicho wala kufuatilia comment hizo sababu ya zoezi
zima, na kuendelea na hatua ya Pili ya kumleta Pacha Mwingine
Wakati akifanya
tukio hilo, alijikuta akiishiwa nguvu na
kukosa Hewa , hali iliyomfanya apumue kwa tabu na kushindwa kusukuma vizuri.
Kabla hajamaliza zoezi hilo, alipoteza Maisha na kuendelea kubaki ONLINE kwa
Masaa zaidi ya Matatu ambapo ilionekana kuna watu walikuja kusaidia kumkimbisa
HOSPITAL na kuzima ile Simu
EmoticonEmoticon