REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta : KUNA MTU KAMCHEFUA NYOTO NDOGO? MSIKILIZE HAPA

4:49:00 AM

Na Baba Juti
NYOTA NDOGO hachukuliwi kama Msanii Peke yake kwa mashabiki wake, Bali wapo Baadhi ya Mashabiki wake ambao humtumia kama Mshauri wa masuala mbali mbali ambayo huwa yanawahusu.

Mambo hayo kwa asilimia kubwa, huwa yanagusa usiri wa mahusiano yao, maisha yao binafsi, na mengineyo.

Ila sasa, Usiku wa Jana, Bibie Huyu amekwaza haswa na Shabiki ambaye alivuka mipaka na hata kumuomba ushauri juu ya mambo ambayo hakustahili kuulizwa

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER