Jose Chameleon/Google |
Na Baba Juti.
BLOGS zimeanza Kumuandama Tena Jose Chameleone licha ya Kuzichimba Mkwara Mzito.
Safari , Hii, Moja Kati ya Bloggs za Kidaku Nchini Uganda, ilipost Taarifa Kuwa, Josee ni Msanii ambaye halipi Kodi, jambo ambalo limemfanya Akamatwe.
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Chameleone ambaye alionekana Kukerwa sana na taarifa hiyo, aliandika kuwa, watu wale wale (blog) ambayo iliandika Taarifa ya Uwongo kuhusu utata ulipo baina yake na Mamlaka ya Mapato ya Uganda (URA), wamerudi tena na taarifa hizo hizo za Uwongo kuhusu yeye kukwepa kulipa Kodi
Lakini Tofauti na Hilo , Jose Chameleone aliongeza kuwa, Blog Hiyo imetumia maneno korofi ambayo yanamkwaza
Hivyo anaomba kila Mtu amuheshimu Mwenzake, Maana analipia Kodi kama inavyotakiwa.
Tembelea Instagram account yangu @babajuti
EmoticonEmoticon