BLACK TOUCHEZ
Unaweza kukataa kuwa, Wakali wa masuala ya fashion na Teknolojia,
kulala kwao ni Ishu, sababu Most Of The Time wanatafakari Vitu Vipya pamoja na
Mbinu Mpya.
KAMA ulikuwa hufahamu, Hivi sasa Kuna
Jeanz Mpya ambayo inaitwa HELLOJEAN, inayokuwezesha Wewe Kucharge SMART PHONE
yako ikiwa Mfukoni,.
Kwa Mujibu wa Designer wa Jeanz hiyo,
inasemekana Jeanz hiyo, ndiyo Jeanz Pekee ambayo itakuwezesha kucharge Simu
yako na Power Bank Vyote Vikiwa katika Mifuko Miwili Tofauti, ambyo inaifany Simu
na Charger Kuwa salama kabisa.
Jeanz hizo zipo maalum kwa jinsia zote
Mbili, na gharama ni Tofauti
Jeanz za Kike ni USD 190
Mpaka Hivi sasa, Zina Uwezo wa Kubeba
Simu zenye Ukubwa wa I PHONE 5 na SAMSUNG S5.
Pia Kuna Jeanz ambazo zinapatikana na
Charge yake kabisa, na zingharimu USD 238, huku zikiwa zinabana wastani.
EmoticonEmoticon